NAFASI ZA KAZI - KIGAMBONI, DA..
Contract
NAFASI YA KAZI - MPWAPWA, DODOMA
Tunatafuta mfanyakazi wa kumsaidia mama wa miaka 58 aliyewahi kuvunjika mguu na hawezi kutembea.
Majukumu ya Kazi:
Kumsaidia mama katika shughuli za kila siku.
Kufanya usafi wa nyumba.
Unafanya kazi na mtu mwingine, hivyo mnakua wawili mnasaidiana kazi.
Sifa Zinazohitajika:
Umri kati ya miaka 27 - 35.
Dini yoyote inakubalika.
Mshahara: TZS 120,000
Jinsi ya Kuomba:
Wasiliana kupitia namba ya simu +255 789 523 921 kwa maelezo zaidi.