Search...

About This Vacancy

Description

NAFASI ZA KAZI - KIGAMBONI, DAR ES SALAAM

Tunatafuta wafanyakazi kwa nafasi zifuatazo katika hoteli mpya Kigamboni:

Housekeeping (Watu 6) – Jinsia yoyote

Waitress/Waiter (Watu 6)

Sifa:

Uwezo wa kufanya kazi kwa bidii na ushirikiano.

Uzoefu katika kazi husika ni faida.

Nafasi zipo kwa jinsia zote.

Eneo la kazi: Kigamboni, Dar es Salaam (Hoteli siyo mgahawa).

Jinsi ya Kuomba:
Tafadhali tuma CV yako kwa mfumo wa PDF kupitia namba ya WhatsApp 0652 992 697.

Contact Property

Listing Title

Get Us Message