Shakur natural cream
TZS 35,000
Nimafuta ya kiasili yaliyo tengenezwa na; *ASALI, ALOEVERA, VITAMIN E, GYLCERINE*, ambayo husuidia kupambana na; °Chunusi °Kulainisha ngozi kavu, na kuipa unyevu °Inazuia kuzeeka kwa ngozi °Inang'arisha ngozi °Inafanya ngozi kuwa nyororo °Inatibu madoa na kuzuia ngozi kuungua kwa jua Inazuia weusi chini ya macho na wekundu usoni. Pia, husaidia sana kwa wale walio haribika na matumizi ya mafuta makali. NB: "`ni mafuta ya asili hayachubui."
Yolo pine
" Shakur Natural Cream is amazing! It leaves my skin soft, smooth, and hydrated without any greasiness. The natural ingredients feel gentle, and it has a light, pleasant scent. Perfect for daily use! Highly recommend! "