SQM 1000 RING ROAD
TZS 6,500,000
DODOMA NALA Eneo linauzwa
-Eneo liko 2.5Km kutoka barabara kuu ya Dodoma-Singida
-Kiwanja kina sqm 22598
-kiwanja kiko block AC Nala
-kiwanja kinaweza kutumia kwa shughuli mbalimbali kama makazi,urban farm pia unaweza weka shule
-kiwanja kina nyaraka zote muhimu kwa ajili ya kuandelea na hatua za hati
-kiwanja kiko karibu na eneo la chuo cha IFM
-Bei milion 40. tuuu kimbizana
Njoo Uwekeze Boss Wangu πββοΈπββοΈπββοΈ