Rav4 for sale
TZS 16,500,000
🚗 GARI LINAPATIKANA 🚗
🎯 Bei: 14.8M
💥 Engine: 1NZ
🔧 CC: 1490
🌟 Hali: Karibu mpya
📍 Location: DSM
Unahitaji gari safi, lenye ubora wa hali ya juu na matumizi mazuri ya mafuta? Hili gari liko karibu mpya na lina injini imara ya 1NZ kwa CC 1490. Ni chaguo bora kwa matumizi ya kila siku! 🔥
Wahi sasa kabla halijachukuliwa! 📞